Kikosi cha Yanga kilibaki mkoani Dodoma baada ya mchezo dhidi ya JKT Tanzania ambao walishinda mabao 2-0
Jana Wananchi wakashiriki katika matukio muhimu ya kuwapa furaha wale wenye mazingira magumu wakitembelea vituo vya kulelea watoto yatima
Yalikuwa matukio ya kipekee kwani pamoja na kuwapatia watoto hao misaada mbalimbali, walipata nafasi ya kuwashuhudia 'mbashara' wachezaji wao wanaowapenda





ADVERTISE HERE