Lazima kieleweke uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2017
Lazima kieleweke uwanja wa Uhuru
Mchezo wa kwanza wa Yanga katika kombe la FA dhidi ya Reha FC unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mabingwa hao mara tatu mfululizo ligi kuu ya Vodacom.

Mchezo huo umepata umaalumu baada ya Simba kuondoshwa katika michuano hiyo na timu ya daraja la Pili, Green Worriors.

Bila shaka mashabiki wa upande wa pili watakuwa 'wanakesha makaburini' kutambika ili Reha FC inayoshiriki daraja la pili ifanye muujiza kama ule wa Green Worriors.

Yanga itaingia kwenye mchezo huo kwa tahadhari kubwa na kwa sababu hiyo mchezo huo unaweza ukawa rahisi sana kwa upande wao.

Kocha Msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa ana kazi moja tu, nayo ni kuhakikisha anashusha kikosi cha maangamizi kitakachoweza kuipa Yanga ushindi na kusonga mbele.

Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Uhuru kuanzia saa kumi jioni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’