Injinia Hersi ndani ya uzi wa Kaizer Chiefs

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 May 2021
Injinia Hersi ndani ya uzi wa Kaizer Chiefs

Bao la kwanza lilipofungwa na Yacouba Songne, jukwaa la VIP lilipuka kwa furaha kutoka kwa viongozi waandamizi wa Yanga wakiongozwa Makamu Mwenyekiti wa Kanati ya mashindano Injinia Hersi Said

Huu ulikuwa ushindi muhimu kwa Yanga kwani umewafanya wafikishe alama 61 ambazo ni sawa na watani zao Simba

Injinia Hersi alikuwa kivutio zaidi jukwaani hapo hasa kutokana na uzi wa Kaizer Chiefs aliokuwa amevaa

Yanga na Kaizer Chiefs ni klabu marafiki, hakuna tatizo wananchi wakivaa jezi zao!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’