Mwamuzi aliyekataa bao la Yanga afungiwa mechi tatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 May 2021
Mwamuzi aliyekataa bao la Yanga afungiwa mechi tatu

Kamati ya usimamizi wa ligi kuu ya Vodacom (saa 72) imemfungia mwamuzi msaidizi Abdulaziz Ally kwa mizunguuko mitatu kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo kati ya Namungo Fc dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Majaliwa na kumalizika kwa suluhu ya bla kufungana

Mwamuzi ndiye aliyekataa bao la Yanga lililofungwa Yacouba Songne na kuinyima Yanga alama tatu muhimu kule Ruangwa!

Kamati hiyo imewakumbusha waamuzi wote kuwa makini zaidi katika michezo ya kuelekea mwishoni mwa msimu

Katika hatua nyingine, Yanga imepigwa faini ya Tsh 500,000/- kwa kuingia uwanjani kupitia mlango wa mashabiki katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc

Pia mashabiki kuwatupia chupa za maji waamuzi baada ya mchezo huo kumalizika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’