Kikosi cha Yanga kilichoondoka jijini Dar es salaam asubuhi ya leo, kimewasili salama mkoani Dodoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Jamhuri

ADVERTISE HERE