Makipa wasaidizi wa Yanga Benno Kakolanya na Ramadhani Kabwili huenda wakaukosa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Reha FC baada ya kuugua.
Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amesema Kakolanya anaumwa malaria huku Kabwili akisumbuliwa na maradhi ya tumbo.
Mmoja wa makipa hao alitarajiwa kudaka mchezo huo wa kombe la FA lakini sasa italazimika kipa namba moja Youthe Rostand asimame langoni.
Aidha mlinda lango wa kikosi cha Yanga B Mussa Mbise atakuwa tayari kumsaidia Rostand itakapohitajika

ADVERTISE HERE