Mapema leo, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano klabu ya Yanga Injinia Hersi Said alishiriki hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la Yanga liitwalo DARAJANI LIKOMBE, lililopo mkoani Mtwara
Katika hafla hiyo, Hersi alibainisha mambo kadhaa kuhusu mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji huku akitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kutoa ufafanuzi zaidi
ADVERTISE HERE