Masaka mfungaji bora ligi ya Wanawake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2021
Masaka mfungaji bora ligi ya Wanawake

Mshambuliaji wa Yanga Princess Aisha Masaka ameibuka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' baada ya kuweka kambani mabao 35

Leo Masaka ameiongoza Yanga Princess kupata ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Alliance Girls peke yake akiweka kambani mabao matano

Hata hivyo imekuwa bahati mbaya kwa Yanga Princess kwani wameukosa kidogo tu ubingwa kwa tofauti ya alama moja dhidi ya Simba Queens waliotetea ubingwa walioshinda msimu uliopita

Simba Queens wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Baobab Queens

Yanga Princess imekamilisha msimu ikiwa na alama 53 wakati Simba Queens wamemaliza msimu wakiwa na alama 54

Injinia Hersi Said na kamati ya usajili Yanga wanapaswa kuingia sokoni kusaka mshambuliaji mwenye kariba ya huyu Aisha, hatari sana...!

Lakini msimu umemalizika, Masaka anapaswa kuongezewa mkataba mpya haraka ili kuhakikisha anaendelea kuibeba Yanga Princess

Kikosi hiki cha kocha Edna Lema, pamoja na maboresho yatakayofanyika, msimu ujao kitafanya makubwa zaidi

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’