FT : Namungo Fc 0-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2021
FT : Namungo Fc 0-0 Yanga

Ni droo nyingine kwa Yanga pale uwanja wa Majaliwa, Lindi wananchi wakilazimishwa suluhu ya bila kufungana

Yanga walikuwa wamepoa kwenye kipindi cha kwanza, lakini vijana wa Nasreddine Nabi walirejea katika kipindi cha pili wakiwa wamechangamka

Yacouba Songne atajilaumu kwa kushindwa kutumia nafasi moja ya wazi aliyopata lakini pia hana baya kwani alifunga bao halali kabisa lililokataliwa na mwamuzi msaidizi katika mazingira ya kutatanisha

Bado ligi yetu ina changamoto kubwa ya waamuzi. Wakati mwingine unaweza kudhani waamuzi hawa wanachezesha mechi kwa kufuata maelekezo ya watu wengine

Kwani maamuzi yao yamekuwa hayaeleweki, hii ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania

Baada ya kulazimishwa suluhu Ruangwa, Wananchi wanaelekea Dodoma kuwakabiliwa maafande wa JKT Tanzania, mchezo ukitarajiwa kupigwa May 19

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’