Yanga B yatinga robo fainali ligi ya vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2021
Yanga B yatinga robo fainali ligi ya vijana

Tmu ya vijana ya Yanga imefanikiwa kuingia robo fainali ya ligi kuu ya vijana wakiibuka vinara wa kundi A

Timu nane zimetinga hatua hiyo ya mtoano kusaka bingwa wa ligi kuu ngazi ya vijana

Azam, Mtibwa Sugar, Simba, Kagera Sugar, Mwadui, Tanzania Prisons na JKT Tanzania zinaungana na Yanga katika hatua hiyo

Aidha, Tanzania Prisons na JKT Tanzania wamefuzu kama β€˜best losers’ baada ya kukusanya pointi nyingi kwenye nafasi ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’