Baada ya kuweka historia, karejea Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2021
Baada ya kuweka historia, karejea Kigoma

Baada ya kuweka historia ya kutembea kwa miguu kwa zaidi ya Kilomita 1400 kutoka Kigoma mpaka jijini Dar es salaam, shabiki wa Yanga Mansour Rashid amerejea mkoani Kigoma kuungana na familia yake

Tukio hilo limeingizwa katika makumbusho ya Taifa hivyo litasimuliwa vizazi mpaka vizazi

Pongezi wa uongozi wa Yanga pamoja na wadhamini/wahisani GSM kwa kutambua thamani ya alichofanya Mansour

Pamoja na kuwa hakufanikisha lengo lake la kuushuhudia mchezo dhidi ya Simba ambao unasubiri kupangiwa tarehe nyingine, tukio lake kuingia kwenye Makumbusho ya Taifa ni jambo kubwa zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’