Yanga imekamilisha maandalizi yake Mtwara na sasa inaelekea Ruangwa tayari kwa mchezo dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi kunako dimba la Majaliwa
Hii ni mechi ambao Wananchi wanazihitaji alama zote tatu





ADVERTISE HERE