Kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Mtwara kuelekea wilayani Ruangwa, Lindi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Majaliwa
Yanga iliweka kambi ya siku tatu mkoani Mtwara kujiandaa na mchezo huo
Wananchi wamepania kuondoka na alama zote tatu pale uwanja wa Majaliwa, Ruangwa
ADVERTISE HERE