Tunawatakia ndugu zetu Waislamu heri ya sikukuu ya Eid El Fitri ambayo husherehekewa baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani

Salamu za sikukuu pia zimetolewa na uongozi wa klabu ya Yanga kuwatakia heri wapenzi, wanachama, mashabiki na Watanzania wote
ADVERTISE HERE