Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima amekanusha taarifa zilizosambazwa Global Publishers Media kuwa ameuandikia barua uongozi wa klabu ya Yanga akiomba kuondoka
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii, Niyonzima amekanusha kufanya mahojiano na chombo hicho cha habari na kusisitiza yeye ni mchezaji halali wa Yanga
Amesema taarifa zilizosambazwa hazina ukweli wowote, zipuuzwe
ADVERTISE HERE