Yanga Princess wameongeza uzito wa dozi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2021
Yanga Princess wameongeza uzito wa dozi

Yanga Princess imeendelea kugawa vipigo ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' wakiwafumua TSC Queens mabao 7-0

Mshambuliaji Aisha Masaka ameendelea kujiongezea idadi ya mabao leo akiweka kambani mabao mawili

Masaka sasa amefikisha mabao 30 katika ligi hiyo inayoelekea ukingoni

Mchezo unaofuata ni dhidi ya Alliance Girls

Yanga Princess wako jino kwa jino na wapinzani wao Simba Queens ambao wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama moja (50 vs 51)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’