Mazoezi ya Yanga huko Mtwara ni kama mechi kwani mashabiki wanajitokeza kwa wingi kushuhudia kikosi chao kikijiandaa na mchezo dhidi ya Namungo Fc
Msimu huu Wana Mtwara hawakushuhudia mechi za ligi kuu baada ya Ndanda Fc kuteremka daraja msimu uliopita
Yanga imeweka kambi hapo Mtwara kuwapa Wananchi furaha ya kuishuhudia timu yao 'mbashara'

ADVERTISE HERE