Wananchi wanaendelea na maandalizi yao kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumamosi katika uwanja wa Majaliwa
Yanga imeweka kambi ya muda mfupi mkoani Mtwara kabla ya safari ya kuelekea Ruangwa, mkoani Lindi




ADVERTISE HERE