Mansouri aingia makumbusho ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 May 2021
Mansouri aingia makumbusho ya Taifa

Shabiki wa Yanga Mansour Hussein aliyekimbia kutoka Kigoma mpaka Dar es salaam kushuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao hata hivyo haukufanyika, historia yake itabaki katika Makumbusho ya Taifa

Mansour amepewa heshima hiyo ambapo vifaa alivyotumia katika safari hiyo ikiwemo jezi, suruali kipande na viatu vimebaki katika makumbusho hayo

Mansour ni mwanariadha ametumia takribani siku 22 kukimbia kilomita 1,400 kutoka Kigoma kufika Dar es salaam huku akiweka vituo sehemu tofauti tofauti kwa usiku na mchana

Alipofika Morogoro alisumbuliwa na maradhi ya tumbo akalazimika kuhudhuria matibabu hospitalini kabla ya kuendelea na safari yake ambapo alifika Dar es salaam May 08

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’