Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia michezo mitano na faini ya Tsh 500,000/- mchezaji wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile kwa kosa la kutoa maneno ya kejeli, kashfa, udhalilishaji na tuhuma dhidi ya Yanga baada ya mchezo wa kombe la FA uliopigwa mkoani Rukwa hivi karibuni

ADVERTISE HERE