Kikosi cha Yanga kinaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumamosi, May 15 uwanja wa Majaliwa, Ruangwa, Lindi
Wananchi wamewekeza nguvu zao katika mchezo huo kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu


ADVERTISE HERE