Hatma ya fedha za mashabiki bado

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2021
Hatma ya fedha za mashabiki bado

Bado hakuna kauli iliyotolewa na TFF kuhusu hatma ya fedha za mashabiki walioingia uwanjani jana kushuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga uliokuwa upigwe saa 11 jioni kabla ya kupatwa na 'mhaho' kwa muda kubadilishwa masaa mawili kabla ya mchezo

Takribani mashabiki 40,000 waliingia uwanjani kushuhudia mchezo huo lakini waliishia kupigwa mabomu ya machozi na jeshi la Polisi baada ya jaribio la kuandamana kwenda TFF kudai fedha zao

TFF kama wasimamizi wa soka nchini hawawezi kukwepa lawama kwa kadhia hii

Yanga walifuata kanuni na taratibu kwa kutotambua mabadiliko ya kushitukiza yaliyofanywa na kupeleka timu uwanjani katika muda wa awali

TFF imekuwa ikisisitiza timu kuzingatia kanuni na taratibu za uendeshaji wa soka nchini

Yanga imekuwa muhanga wa kuadhibiwa mara kwa mara kwa kudaiwa wamekuwa 'wakaidi' wa kufuata taratibu

Lakini siku ya jana viongozi wa Yanga wanastahili kupongezwa kwani walifanya kile ambacho kanuni zinawaelekeza

Bahati mbaya watani zao Simba walishindwa kufuata kanuni hizo kwa kisingizio cha mabadiliko 'batili' ya muda wa mchezo yaliyofanywa na TFF

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alipania kwelikweli kwani aliingiza jeshi lake uwanjani huku akifanya mabadiliko kadhaa kwenye kikosi chake cha kwanza

Timu iliyokuwa inaanza;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’