Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kubadili muda wa mchezo wa watani kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa leo
Taarifa iliyotolewa na TFF imebainisha kuwa mchezo utapigwa saa moja usiku badala ya saa 11 jioni iliyokuwa imetangazwa awali

Hata hivyo mabadiliko haya yalipaswa kufanyika saa 24 kabla ya muda uliokuwa umepangwa awali kulingana na kanuni
Baadhi ya mashabiki waliingia uwanjani tangu asubuhi, watalazimika kusubiri zaidi!
ADVERTISE HERE