Maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya Simba yanaendelea Avic Town katika utulivu wa hali ya juu
Wachezaji wana hamasa kubwa wakiwa na dhamira moja tu, kuwafunga midomo wale wanaoropoka na kuibeza Yanga huko mtaani
Injinia Hersi Said, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano, yuko karibu na vijana kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
Wachezaji wa Yanga wamepania kwelikweli kuondoka na alama zote tatu siku ya Jumamosi
Mashabiki wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa, wameandaliwa burudani ya aina yake
ADVERTISE HERE