Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, GSM wameshusha bei ya jezi ili kuwawezesha mashabiki wengi kujipatia uzi mpya wa Yanga
Kuanzia siku ya leo unaweza kununua jezi halisi Brand Chapa Gsm kwa Tsh 20,000/- tu kwa kupiga Namba 0692 328 126 - Mubarak ambaye yupo nje ya uwanja wa Mkapa kukuhudumia
Ofa hii itamalizika Jumamosi May 08 ambayo ni siku ya mchezo
ADVERTISE HERE