Bila ya 'Bodaboda' TK Master atawanyoosha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 May 2021
Bila ya 'Bodaboda' TK Master atawanyoosha

Tuisila Kisinda ni moja ya silaha muhimu za Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumamosi May 08 2021

Kisinda ndiye aliyesababisha penati iliyozaa bao katika mchezo wa kwanza baada ya kuangushwa ndani ya eneo la hatari na beki Joash Onyango aliyemvuta mguu baada kumzidi mbio

TK Master hajaanza kuwasumbua Simba hapa Bongo, wakati yuko AS Vita alikutana na Simba katika mechi za ligi ya mabingwa na kwa hakika cha moto walikiona hasa kwenye mchezo wa kwanza kule DR Congo

Winga mwenye kasi zaidi ndani ya ligi kuu ya Vodacom! Amewapa wakati mgumu walinzi wa timu nyingi

Ukiiangalia safu ya ulinzi ya Simba, inaundwa na wachezaji wakongwe, Paschal Wawa na Joash Onyango, hakika watapata tabu sana hasa ikizingatiwa katika mchezo huo Saido Ntibazonkiza fundi wa kupiga pasi mpenyezo atakuwepo uwanjani

Alipopata majeraha katika mchezo dhidi ya Gwambina Fc, walidhani wamepata ahueni lakini habari mbaya kwao ni kuwa Kisinda amerejea kikamilifu akiendelea na mazoezi tayari kuwakimbiza siku ya Jumamosi

Tunawaambia kabisa, wapeleke maombi TFF ili wawaruhusu Onyango na Wawa waingie na bodaboda uwanjani kwani bila ya hivyo, 'watapata tabu sana'!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’