Siri ya kuundwa kwa Kamati ya Mashindano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2017
Siri ya kuundwa kwa Kamati ya Mashindano
Yanga imedhamiria kuhakikisha msimu huu inatetea ubingwa wake kwa msimu wa nne pamoja na kufanya vizuri katika michuano yote inayoshiriki.

Hilo ndilo lililopelekea kuundwa kwa Kamati ya Mashindano ambayo wajumbe wake wengi kwanza ni 'Yanga Damu' pili wana ushawishi mkubwa wa kifedha.

Kamati hiyo itakayo-ongozwa na Hussein Nyika(huyu ndiye aliyemn'goa Ajib Simba) ambaye bado pia anaendelea kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya usajili.

Makamu wake ni Mustapha Ulungo na Katibu Mkuu, Samuel Lukumay.

Miongoni mwa wajumbe walioteuliwa ni Ndama Shaaban Hussein maarufu kama 'Pedezyee Ndama Mtoto wa Ng'ombe'.

Wengine ni Omary Chuma, Majjid Suleiman, Mussa Katabaro, Yusuphed Mhandeni, Beda Tindwa, Jackson Maagi, Lameck Nyambaya, Nicko Meela, Edward Urio, Rodgers Gumbo, Edgar Mutani, Shijja Richard, Sanga Kayanda, Hamad Islam, Paschal Kihanga, Isihaka Sengo, Bahati Mwaseba, Rashid Msinde, Khalfan Kigwelembe, Yanga Makanga, Rodgers Lemlembe na Leonard Chigango.

Hawa kazi yao kubwa ni kuhakikisha Yanga inafanya vizuri katika mashindano yote inayoshiriki.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’