Emmanuel Mwandembwa kutoka mkoani Arusha amepewa jukumu la kuchezesha mtanange wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi, May 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Waamuzi wasaidizi ni Frank Komba kutoka jijini Dar es salaam, Hamdai Said kutoka mkoani Mtwara wakati mwamuzi wa akiba ni Ramadhani Kayoko kutoka jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE