Majembe yote yapo tayari kuivaa Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 May 2021
Majembe yote yapo tayari kuivaa Simba

Wachezaji Feisal Salum, Mukoko Tonombe na Michael Sarpong wamemaliza adhabu ya kadi za njano waliyotumikia kwa kukosa mchezo uliopita dhidi ya Tanzania Prisons

Hii ina maana kocha Nasreddine Nabi atakuwa na wachezaji wote katika mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi ijayo, May 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Lakini pia, Nabi atakuwa na nyota wake Tuisila Kisinda na Dickson Job ambao walipumzishwa katika mchezo uliopita dhidi ya Prisons

Kiufupi ni kuwa Yanga itaingia kwenye mchezo dhidi ya Simba ikiwa na kikosi chake kamili

Mpaka sasa ni Mapinduzi Balama pekee ambao atakosekana kutokana na kuendelea na program maalum ya mazoezi kabla ya kurejea uwanjani

Hii ni mechi ambayo nyota wa Yanga wanaitamani kwelikweli. Kama wanadhani utakuwa mchezo mwepesi, wanajidanganya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’