Leo amezaliwa mwamba, fundi wa mpira Saido Ntibazonkiza
Pasi yake ya upendo siku ya jana ilitumiwa vyema na Yacouba Songne kufunga bao pekee lililoipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons
Imekuwa kawaida yake, anapokuwa uwanjani kama hatafunga basi atatoa pasi ya bao
Siku ya leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu
HAPPY BIRTHDAY NTIBAZONKIZA...!
ADVERTISE HERE