Kesho Jumapili, May 02 2021, uongozi wa klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla watakuwa na Mkutano na viongozi wa Matawi ya Yanga
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE