Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea Sumbawanga ambako walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo kombe la FA hatua ya 16 bora
Yanga imerejea kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa May 08




ADVERTISE HERE