Baada ya ushindi 'mujarab' wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons na kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la FA, kikosi cha Yanga kimeondoka Sumbawanga kurejea jijini Dar es salaam wakipitia mkoani Mbeya
Yanga inarejea Dar kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Simba ambapo utapigwa May 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa



ADVERTISE HERE