Metacha Mnata amerejea na ubora wake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 May 2021
Metacha Mnata amerejea na ubora wake

Itoshe kusema Metacha Mnata anabaki kuwa mlinda lango bora katika kikosi cha Yanga msimu huu

Kiwango alichoonyesha kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons jana kimedhihrisha

Ushindi wa bao 1-0 waliopata Yanga umeambatana na cleansheet yake ya 12 katika ligi na FA

Baada ya sintofahamu iliyojitokeza awali na baadae kupata msiba wa kufiwa na mwanae, Metacha amerejea akiwa imara, jana kafanya kazi yake kwa ustadi mkubwa

Huyu mwamba aongezwe mkataba mapema kwani pamoja na kuhusishwa kwake na Simba ni tetesi tu, jambo hilo linaweza kutokea kama Yanga haitaharakisha kumpa mkataba mpya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’