Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Mbeya kujiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Ijumaa, April 30 Sumbawanga
Yanga inatarajiwa kuweka kambi ya siku chache Mbeya kabla ya kuelekea Sumbawanga kuwakabili Wajelajela katika mchezo wa tatu utakaozikutanisha timu hizo msimu huu
Michezo miwili ya ligi ilimalizika kwa sare ya bao 1-1 lakini mchezo huu wa FA lazima mshindi apatikane kutinga robo fainali
ADVERTISE HERE