Kikosi cha Yanga chini ya Kocha Mkuu Nasredinne Nabi, kimeondoka jijini Dar es salaam kwa usafiri wa Ndege wakielekea mkoani Mbeya ambako wataunganisha Sumbawanga wanakokabiliwa na mchezo wa kombe la FA Ijumaa
Ijumaa ya wiki hii Yanga itacheza na Tanzania Prisons mchezo ukitarajiwa kupigwa uwanja wa Nelson Mandela





ADVERTISE HERE