Kikosi cha Yanga kinaondoka jijini Dar es salaam asubuhi ya leo Jumanne April 27 kuelekea mkoani Rukwa ambako siku ya Ijumaa wanakabiliwa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga April 30 2021
Msafara wa Yanga utapitia mkoani Mbeya na baadae kuunganisha Rukwa
ADVERTISE HERE