Abdallah Shaibu 'Ninja', huna baya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2021
Abdallah Shaibu 'Ninja', huna baya

Mlinzi Abdallah Shaibu 'Ninja' ameendelea kuonyesha kiwango bora kwa mchezo wa tatu mfululizo tangu alipoanza kuaminiwa na kuanzishwa katika kikosi cha kwanza

Katika mchezo dhidi ya Azam Fc ambao Yanga imekubali kipigo cha bao 1-0, Ninja alifanya kazi kubwa sana, alikuwa nguzo muhimu kwenye safu ya ulinzi

Kwa muda mwingi aliweza kumdhibiti mshambuliaji hatari wa Azam Fc Prince Dube, ambaye hata hivyo ndiye aliyefunga bao pekee la Azam Fc kwa shuti la mbali ambalo wengi wanaamini mlinda lango Farouk Shikhalo alipaswa kuokoa

Ninja ndiye mchezaji ambaye anaweza kupewa alama nyingi katika mchezo huo kwa upande wa kikosi cha Yanga

Kazi nzuri kwake, pamoja na kuwa timu imefungwa, atapongezwa kwa kile kizuri alichokifanya uwanjani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’