Keshokutwa Jumapili April 25 Wananchi wana jambo lao uwanja wa Benjamin Mkapa watakaoshuka dimbani kuikabili Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Viingilio vya mchezo huo vimewekwa hadharani ambapo kiingilio cha chini kabisa Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE