Mwezi ujao Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanachama wa klabu ya Yanga utafanyika jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine Wanachama wa Yanga wanatarajiwa kupitisha mapendekezo ya muundo mpya wa uendeshaji
Leo Wajumbe wa kamati ya katiba na kamati ya mabadiliko wamekabidhi ripoti ya katiba na muundo huo uliopendekezwa
Mwenyekiti wa Yanga Dr. Mshindo Msolla alipokea ripoti hiyo kwa niaba ya kamati ya Utendaji akiambatana na sektretarieti ya Yanga
Moshi mweupe umeanza kupepea Jangwani...!
ADVERTISE HERE