Songne aipania Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2021
Songne aipania Azam Fc

Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Burkinafaso, Yacouba Songne, amesema atautumia mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC, kuendeleza kasi ya ufungaji ili kusaka kiatu cha ufungaji bora msimu huu

Songne amesema atapambana kuhakikisha anaisaidia timu yake kuibuka na ushindi katika mchezo huo wakati yeye akiweka sawa hesabu zake za kuwania kiatu cha ufungaji bora.

"Tunaendelea vizuri na mazoezi kwaajili ya mchezo ujao, nipo fiti kwaajili ya kuipambania timu yangu pamoja na kutimiza malengo yangu ya kuwania ufungaji bora ambao naamini inawezekana kutokana na ushirikiano ninaoupata kutoka kwa wachezaji wenzangu, amesema

Yanga wataingia katika mchezo  huo utakaopigwa Jumapili usiku wakiwa na kumbukumbu nzuri dhidi ya Azam FC baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza bao lililofungwa na Deus Kaseke

Ilikuwa pasi murua kutoka kwa Yacouba ndio ilipelekea Yanga kuondoka na alama zote tatu Chamazi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’