Huyu hapa mrithi wa Mortotsi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Apr 2021
Huyu hapa mrithi wa Mortotsi

Baada ya Yanga kuachana na aliyekuwa mtaalamu wa viungo Edem Mortotsi raia wa Ghana, mrithi wake anatajwa kuwa Jawad Sabri, kutoka Morocco

Sabri alikuwa mtaalam wa viungo kunako klabu ya Raja Athletic ambaye jana iliingia makubaliano ya ushirikiano na Yanga

Kocha huyo ataingia katika benchi la ufundi litakaloongozwa na Kocha Mkuu Nasredine Al Nabi aliyetua nchini juzi na kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu

Uongozi wa Yanga wakipewa sapoti na GSM wamechukua hatua madhubuti kutengeneza benchi imara la ufundi ambalo litairejesha timu kwenye ubora wake

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said aliwahi kusema ili timu iweze kufanikiwa inahitaji uongozi bora, benchi bora la ufundi na wachezaji bora

Yanga inayafanya yote hayo wakati huu, ni suala la muda tu, mafanikio ya kweli yatapatikana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’