Uongozi wa klabu ya Yanga leo Jumanne majira ya saa tisa Alasiri watafanya Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam
Wananchi wana tukio muhimu leo
ADVERTISE HERE