Shoo nyingine ya Yacouba leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Apr 2021
Shoo nyingine ya Yacouba leo

Tangu ligi iliporejea baada ya mapumziko na maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano Dk John Magufuli, mshambuliaji Yacouba Songne yuko 'on-fire'

Yacouba amefunga mabao yote mawili ya Yanga akiweka kambani katika michezo yote miwili

Takwimu zinaonyesha Yacouba ndiye mchezaji aliyehusika katika magoli mengi yaliyofungwa na Yanga msimu huu

Mabao 10 yamepita mguu kwake, akifunga sita na kutoa assist nne

Anafuatiwa na Deus Kaseke 'Mwaisa' aliyeweka kambani mabao sita na kutoa pasi tatu za mabao

Leo wawili hao watakuwa uwanjani wakati Yanga ikiikabili Gwambina Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’