Wanne hatihati kuivaa Reha FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2017
Wanne hatihati kuivaa Reha FC
Kikosi cha Yanga kitashuka Jumapili wikiendi hii kwenye mchezo wake wa kwanza wa mashindano ya Azam HD Federetion Cup ambayo pazia rasmi litafunguliwa leo Jumatano.

Yanga itaivaa Reha FC iliyopo Ligi Daraja la Pili mchezo ambao utapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Nyota wanne wa Yanga ambao ni Donald Ngoma, Thabani Kamusoko, Kelvin Yondani na Pato Ngonyani wataikosa mechi hiyo kutokana na kuwa majeruhi.

Daktari wa Yanga, Edward Bavu alisema baadhi ya nyota hao wameshaanza mazoezi mepesi ili kuangalia uwezekano kama watajumuishwa kwenye kikosi cha kwanza.

Alisema huenda wachezaji majeruhi pia wakakosa mechi za Ligi Kuu zilizosalia.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’