Shabiki aifuata dabi ya Kariakoo kwa mguu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2021
Shabiki aifuata dabi ya Kariakoo kwa mguu

Shabiki wa Yanga Mang'suli Hussein ameanza safari ya kutoka Kigoma kwenda jijini Dar es salaam (zaidi ya 1200km) kwa mguu kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa Mei 8, 2021 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Shabiki huyo anatarajiwa kutumia takribani siku 18 kuhitimisha safari yake jijini Dar es salaam

Hii sio mara ya kwanza kwa Mang'uli kufanya tukio la aina hiyo

Amewahi kukimbia 95km kutoka Kigoma kwenda Kasulu pia amewahi kukimbia 400km kutoka Kigoma kwenda Tabora

Hii ya kwenda Dar es salaam ni safari yake ya kwanza ndefu zaidi lakini yenye maana kubwa kwani anaweza kuandika historia katika siku ambayo timu yake ya Yanga itakuwa pale kwa Mkapa kupepetana na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’