Timu ya vijana ya Yanga leo inarejea katika kampeni ya kuwania ubingwa ligi ya vijana wakitarajiwa kushuka uwanjani kuikabili Polisi Tanzania
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Ushirika Moshi
Yanga B wameanza vyema kampeni ya michuano hiyo wakishinda mechi mbili za mwanzo dhidi ya Namungo na Coastal Union
Michezo yote wameshinda ugenini
ADVERTISE HERE