Jumamosi ya wiki hii Wananchi wanaendelea na mapambano ya kuwania ubingwa wa ligi kuu watakapo wakaribisha Biashara United katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa April 17 2021
Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/-
Huu ni mchezo ambao Yanga inahitaji kuondoka na alama zote tatu kuhakikisha hawazidi kupotea katika ramani ya ubingwa msimu huu
ADVERTISE HERE