Wachezaji wa klabu ya Yanga pamoja na viongozi wao jana walifika nyumbani kwa mlinda lango Metacha Mnata kumfariji baada ya kufiwa na mtoto wake Brighton
Kwa mara nyingine, tunampa pole Metacha kwa kuondokewa na mtoto wake
Mwenye ez Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE