Mabosi Yanga, TFF kukutana leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Apr 2021
Mabosi Yanga, TFF kukutana leo

Mabosi wa klabu ya Yanga leo watakutana na wenzao wa TFF kujadili masuala mbalimbali ambayo yamepelekea 'kutokuaminiana' baina ya taasisi hizo

Baada ya Kamati ya Maadili ya TFF kumfungia Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela, Yanga ilipeleka malalamiko yake Serikalini wakipinga adhabu hiyo lakini pia wakiibua malalamiko mengine ambayo wanaamini hawatendewi haki na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

Serikali iliagiza pande zote mbili kukutana katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika leo

Katika majibu yake kwa Serikali TFF ilieleza kuwa haihusiki na maamuzi yanayofanywa na Kamati hivyo kama kuna makosa yamefanyika ni hukohuo katika Kamati

Pengine leo utapatikana mwafaka ambao utarejesha mahusiano mazuri na kuaminiana baina ya Yanga na TFF

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’